MYOMECTOMY (UPASUAJI WA KUTOA UVIME UITWAO MYOMA AU UTERINE FIBROID)

Nini maana ya myomectomy? Hii ni aina ya upasuaji uliokusudia kutoa viuvimbe vinavyo ota kwenye kuta za mji wa mimba (uterus). Je upasuaji huu ni mkubwa au ni mdogo? Huu ni upasuaji mkuwa ambao unaweza kuchukua zaidi ya dakika 45. Na kuna baadhi wa wanawake wanaweza wakawa na viuvimbe vingi zaidi ya 10 hivyo mda …

MYOMECTOMY (UPASUAJI WA KUTOA UVIME UITWAO MYOMA AU UTERINE FIBROID) Read More »

Share na Wengine