afya ya uzazi

Umuhimu wa madini chuma kwa mama mjamzito

UMUHIMU WA MADINI CHUMA KWA MAMA MJAMZITO Utangulizi Madini ya chuma ni madini muhimu sana kwa mama wajawazito na wale ambao wanatarajia kuwa wajawazito. Tafiti zinaonyesha kwamba duniani, asilimia 37% ya wajawazito wana upungufu wa damu na asilimia 40% ya wajawazito hao upungufu wa damu unasababishwa na upungufu wa madini ya chuma (WHO). Tatizo hili …

Umuhimu wa madini chuma kwa mama mjamzito Read More »

Share na Wengine

Mimba Zabibu (Molar Pregnancy)

UTANGULIZI Mimba zabibu ni kati ya aina ya magonjwa ya mimba yanayoweza kujitokeza wakati seli za uzazi (mbegu ya mwanaume na mwanamke) kuungana na kutengeneza mimba isiyokuwa kamilifu. Tatizo hili hujitokeza kwa nadra sana lakini linaweza kuleta changamoto kubwa sana kwa muhusika. Tafiti zinaonyesha kutofautiana kwa ukubwa wa tatizo katika pande tofauti za dunia na …

Mimba Zabibu (Molar Pregnancy) Read More »

Share na Wengine

VIRUSI VYA HUMAN PAPILLOMA (HPV)

VIRUSI VYA HUMAN PAPILLOMA (HPV) NA ATHARI ZAKE HPV ni aina ya virusi vinavyojulikana sana ambavyo vinaweza kusambazwa kiurahisi kwa njia ya kujamiiana. Virusi hivi vinaweza kusababisha matatizo mbali mbali ya afya kwa binadamu ikiwemo WARTS mpaka SARATANI. Virusi hivi vipo vya aina nyingi sana ila kwa ujumla wake vimewekwa katika makundi makuu mawili; Virusi …

VIRUSI VYA HUMAN PAPILLOMA (HPV) Read More »

Share na Wengine

NINI CHA KUFANYA UNAPOJIKUTA UNATOKWA NA UCHAFU UKENI UNAO FANANA NA MAZIWA YA MTINDI UNAO TOA HARUFU MBAYA?

Kama ni tatizo linalo jirejea mara kwa mara unatakiwa kuonana na daktari wako kwa uchunguzi wa kina. Unatakiwa pia kuangaliwa kama unaweza ukawa unadalili za saratani ya shingo ya kizazi. Ni vyema pia kuhakikisha unapima magonjwa ya zinaa kwani yanaweza kuchangia kutapa tatizo hili mara kwa mara. Unatakiwa kuchukuliwa maji maji ya ukeni ili yaoteshwe …

NINI CHA KUFANYA UNAPOJIKUTA UNATOKWA NA UCHAFU UKENI UNAO FANANA NA MAZIWA YA MTINDI UNAO TOA HARUFU MBAYA? Read More »

Share na Wengine

SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

UTANGULIZI Hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa wanawake huwa inabadilika mara kwa mara. Kunawakati inaweza ikawa ipo juu au chini na wakati mwingine kutoweka kabisa. Kwa mantiki hii, kama hapo awali ulikuwa huna tatizo na baada ya mda tatizo hili likaanza ni vyema kuonana na daktari kwa ushauri zaidi.   DALILI ZAKE Kutotaka kujihusisha …

SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA Read More »

Share na Wengine

Appointment

Make appointment here