Machapisho

“Afya njema ndio hazina na mstakabali mkubwa wa taifa letu na pia huleta matumaini ya kizazi bora cha leo, kesho na baadae.”

Dr Kitange

Umuhimu wa madini chuma kwa mama mjamzito
bernard kitange
June 7, 2024
UMUHIMU WA MADINI CHUMA KWA MAMA MJAMZITO Utangulizi Madini ya chuma ni madini …

Umuhimu wa madini chuma kwa mama mjamzito Read More »

Mimba Zabibu (Molar Pregnancy)
bernard kitange
January 20, 2024
UTANGULIZI Mimba zabibu ni kati ya aina ya magonjwa ya mimba yanayoweza kujitokeza …

Mimba Zabibu (Molar Pregnancy) Read More »

Dalili za ugonjwa wa PCOS na chanzo chake
bernard kitange
September 19, 2023
DALILI NA CHANZO CHA UGONJWA UITWAO PCOS Kirefu cha neno PCOS ni Polycystic …

Dalili za ugonjwa wa PCOS na chanzo chake Read More »

JINSI AMBAVYO MAZIWA YA MAMA YANAWEZA KUMLINDA MTOTO NA UMANJANO
bernard kitange
May 31, 2023
JINSI AMBAVYO MAZIWA YA MAMA YANAWEZA KUMLINDA MTOTO NA UMANJANO Maziwa ya mama …

JINSI AMBAVYO MAZIWA YA MAMA YANAWEZA KUMLINDA MTOTO NA UMANJANO Read More »

VIRUSI VYA HUMAN PAPILLOMA (HPV)
bernard kitange
May 12, 2023
VIRUSI VYA HUMAN PAPILLOMA (HPV) NA ATHARI ZAKE HPV ni aina ya virusi …

VIRUSI VYA HUMAN PAPILLOMA (HPV) Read More »

MYOMECTOMY (UPASUAJI WA KUTOA UVIME UITWAO MYOMA AU UTERINE FIBROID)
bernard kitange
March 5, 2023
Nini maana ya myomectomy? Hii ni aina ya upasuaji uliokusudia kutoa viuvimbe vinavyo …

MYOMECTOMY (UPASUAJI WA KUTOA UVIME UITWAO MYOMA AU UTERINE FIBROID) Read More »

JINSI YA KUEPUKA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA
bernard kitange
December 9, 2022
Maumivu kipindi cha kushiriki tendo la ndoa ni jambo ambalo limekuwa linajitokeza mara …

JINSI YA KUEPUKA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA Read More »

SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA
bernard kitange
September 13, 2022
UTANGULIZI Hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa wanawake huwa inabadilika mara kwa …

SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA Read More »

FANGASI ZA UKENI (VAGINA YEAST INFECTION)
bernard kitange
August 16, 2022
Huu ni ugonjwa unaoshika nafasi ya pili katika kuathiri sehezu za siri za …

FANGASI ZA UKENI (VAGINA YEAST INFECTION) Read More »

TAMBUA MZUNGUKO WAKO WA HEDHI(MENSTRUATION)
bernard kitange
July 6, 2022
Hedhi, ni kipindi ambacho msichana/mwanamke katika umri wa balee anakuwa anatokwa na damu …

TAMBUA MZUNGUKO WAKO WA HEDHI(MENSTRUATION) Read More »

Umuhimu wa FOLIC ACID kabla na wakati wa Ujauzito
bernard kitange
June 24, 2022
Encephalocele (Tundu kwenye fuvu la Kichwa) spina bifida (Tundu kwenye uti wa mgongo) …

Umuhimu wa FOLIC ACID kabla na wakati wa Ujauzito Read More »

Genital Prolapse (Kuporomoka kwa mfuko wa uzazi)
bernard kitange
June 4, 2022
GENITAL PROLAPSE (KUPOROMOKA KWA MFUKO WA UZAZI) Mfuko wa uzazi ni kiungo muhimu …

Genital Prolapse (Kuporomoka kwa mfuko wa uzazi) Read More »

Mtoto Kutanguliza Makalio ( Breech Presentation)
bernard kitange
June 1, 2022
Mtoto Kutanguliza Makalio (Breech Presentation) UJAUZITO: Ni hali ambayo mwanamke anaipitia wakati kiumbe …

Mtoto Kutanguliza Makalio ( Breech Presentation) Read More »

Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa
bernard kitange
June 1, 2022
Fahamu Zetu Katika Mahusiano Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa: Katika mahusiano ya wanandoa …

Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa Read More »

ONLINE CONSULTATION/ HUDUMA ZA MTANDAO

Unaweza ukapata uduma za tiba kwa kupitia simu yako ya mkononi. Unachohitaji ni kufuata hatua zifuatazo:

  1. Tuma sms kwenye namba +255-624-646-946 inayosema nahitaji huduma ya kimatibabu
  2. Tuma Jina lako kamili, umri wako na mkoa unaoishi
  3. Utasubiria Majibu ndani ya lisaa.
  4. Kisha utapewa muda maalum wa kuzungumza na doctor
  5. Malipo utafanya dakika 15 kabla ya kuongea na doctor
  6. Gharama ya kuongea (consultation) ni 30,000/= kwa dakika 20. 
online consultation

Appointment

Make appointment here