Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa

Fahamu Zetu Katika Mahusiano

Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa:

Katika mahusiano ya wanandoa kuna mambo kadhaa ambayo wahusika na jamii inayotuzunguka inatarajia, na mojawapo ni kuona wanandoa wakiwa wameweza kufanikisha kupata matunda ya ndoa ambayo ni watoto. Jambo hili huwa linaleta furaha ya pekee na kuyafanya mahusiano ya wanandoa kuwa yenye furaha na amani. Panapotokea tofauti na matarajio hayo, basi huzuni na simanzi huingia katika familia na kuanza kuwa na maswali mengi yasiyo na majibu yanayojitosheleza. Kipindi hiki kinakuwa ni kigumu sana na kwa wahusika hakiwezi kuelezewa kikaeleweka. Lakini ni vyema kujua kwamba kila penye tatizo kunasuluhisho, cha msingi ni kuweza kujua nani anaweza kukupa maelezo yaliyo jitosheleza ili uweze kupata msaada wa haraka. Ukiwa unachangamoto ya maswala ya uzazi basi tuwasiliane ili kuweza kushirikiana kuyatatua kwa pamoja.

Share na Wengine

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Appointment

Make appointment here