infertility

Dalili za ugonjwa wa PCOS na chanzo chake

DALILI NA CHANZO CHA UGONJWA UITWAO PCOS Kirefu cha neno PCOS ni Polycystic Ovarian Syndrome. Syndrome maana yake ni tatizo lenye mkusanyiko wa dalili zaidi ya moja. Hivyo PCOS ni ugonjwa wenye dalili mbali mbali mwilini unao jitokeza kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa. Nini chanzo cha PCOS? Mpaka hivi sasa chanzo cha ugonjwa huu …

Dalili za ugonjwa wa PCOS na chanzo chake Read More »

Share na Wengine

JINSI AMBAVYO MAZIWA YA MAMA YANAWEZA KUMLINDA MTOTO NA UMANJANO

JINSI AMBAVYO MAZIWA YA MAMA YANAWEZA KUMLINDA MTOTO NA UMANJANO Maziwa ya mama yanamchanganyiko wa virutubisho vingi vinavyoweza kupunguza tatizo la umanjano (Jaundice) kwa watoto wachanga. Jaundice/unjano, ni tatizo linalosababishwa na mkusanyiko wa kiwango kikubwa cha bilirubini kwenye damu ya mtoto. Bilirubini ni kati ya vitu vinavyo patikana ndani ya chembe hai nyekundu za damu …

JINSI AMBAVYO MAZIWA YA MAMA YANAWEZA KUMLINDA MTOTO NA UMANJANO Read More »

Share na Wengine

Appointment

Make appointment here