Umuhimu wa FOLIC ACID kabla na wakati wa Ujauzito

Encephalocele (Tundu kwenye fuvu la Kichwa) spina bifida (Tundu kwenye uti wa mgongo) Anencephaly (Ubongo na Fuvu la kichwa visivyo kamilika) Ujauzito ni kipindi ambacho mwanamke anakuwa na hali ya mabadiliko yanayotokana na kiumbe ambacho kinakuwa ndani ya mji wa mimba. Na kitaalamu, ujauzito ni swala ambalo linahitaji mipango ili kuhakikisha safari ya mwanamke ambaye …

Umuhimu wa FOLIC ACID kabla na wakati wa Ujauzito Read More »

Share na Wengine