Medical

Umuhimu wa FOLIC ACID kabla na wakati wa Ujauzito

Encephalocele (Tundu kwenye fuvu la Kichwa) spina bifida (Tundu kwenye uti wa mgongo) Anencephaly (Ubongo na Fuvu la kichwa visivyo kamilika) Ujauzito ni kipindi ambacho mwanamke anakuwa na hali ya mabadiliko yanayotokana na kiumbe ambacho kinakuwa ndani ya mji wa mimba. Na kitaalamu, ujauzito ni swala ambalo linahitaji mipango ili kuhakikisha safari ya mwanamke ambaye …

Umuhimu wa FOLIC ACID kabla na wakati wa Ujauzito Read More »

Share na Wengine

Mtoto Kutanguliza Makalio ( Breech Presentation)

Mtoto Kutanguliza Makalio (Breech Presentation) UJAUZITO: Ni hali ambayo mwanamke anaipitia wakati kiumbe kinakuwa ndani ya mfuko wa uzani. Kipindi hiki kinaambatana na mabadiliko ya mwili (physiological changes). Katika ukuaji wa mimba kutokana na nafasi mtoto aliyokuwa nayo ndani ya mji wa mimba huwa wanahali ya kuzunguka mara kwa mara na kusababisha kuwa na matokeo …

Mtoto Kutanguliza Makalio ( Breech Presentation) Read More »

Share na Wengine

Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa

Fahamu Zetu Katika Mahusiano Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa: Katika mahusiano ya wanandoa kuna mambo kadhaa ambayo wahusika na jamii inayotuzunguka inatarajia, na mojawapo ni kuona wanandoa wakiwa wameweza kufanikisha kupata matunda ya ndoa ambayo ni watoto. Jambo hili huwa linaleta furaha ya pekee na kuyafanya mahusiano ya wanandoa kuwa yenye furaha na amani. Panapotokea tofauti na matarajio hayo, …

Matarajio ya Mahusiano ya wanandoa Read More »

Share na Wengine

Appointment

Make appointment here