Dalili za ugonjwa wa PCOS na chanzo chake
DALILI NA CHANZO CHA UGONJWA UITWAO PCOS Kirefu cha neno PCOS ni Polycystic Ovarian Syndrome. Syndrome maana yake ni tatizo lenye mkusanyiko wa dalili zaidi ya moja. Hivyo PCOS ni ugonjwa wenye dalili mbali mbali mwilini unao jitokeza kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa. Nini chanzo cha PCOS? Mpaka hivi sasa chanzo cha ugonjwa huu …