Afya Bora

Maisha Bora

Jifunze zaidi juu ya umuhimu wa Afya ya uzazi na matatizo 

mengineyo yanayo husiana na uzazi

KUPATA TAARIFA (NOTIFICATIONS) JUU YA MACHAPISHO YETU MAPYA ANDIKA EMAIL YAKO HAPO CHINI HALAFU BONYEZA KITUFE CHA SUBMIT KUSUBSCRIBE. AHSANTE


MACHAPISHO YETU YA HIVI KARIBUNI (OUR RECENT POST)

“Afya njema ndio hazina na mstakabali mkubwa wa taifa letu na pia huleta matumaini ya kizazi bora cha leo, kesho na baadae.”

Our Services (Huduma Zetu)

Infertility (Ugumba)

Tunatoa elimu pamoja na tiba inayohusu matatizo yanayopelekea kushindwa kupata ujauzito

Changamoto za Ujauzito (Pregnancy related condition)

Maelezo na Changamoto zinazojitokeza kipindi cha ujauzito

Gynaecological condition (Matatizo ya mfumo wa uzazi)

Ufananuzi utatolewa juu ya magonjwa yanayoathiri mfumo wa uzazi.

FUATILIA MOJA KWA MOJA KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YETU

TAFADHALI USISAHAU KUSUBSCRIBE (KUUNGAMA) KWENYE CHANNEL YETU ILI KUPATA NOTIFICATION (KIASHIRIA) PINDI TUNAPOWEKA VIDEO MPYA

ILI KUSUBSCRIBE BONYEZA KITUFE CHA RANGI YA BULUU HAPO CHINI BAADA YA VIDEO HIZI. AHSANTE

ONLINE CONSULTATION/ HUDUMA ZA MTANDAO

Unaweza ukapata uduma za tiba kwa kupitia simu yako ya mkononi. Unachohitaji ni kufuata hatua zifuatazo:

  1. Tuma sms kwenye namba +255-624-646-946 inayosema nahitaji huduma ya kimatibabu
  2. Tuma Jina lako kamili, umri wako na mkoa unaoishi
  3. Utasubiria Majibu ndani ya lisaa.
  4. Kisha utapewa muda maalum wa kuzungumza na doctor
  5. Malipo utafanya dakika 15 kabla ya kuongea na doctor
  6. Gharama ya kuongea (consultation) ni 30,000/= kwa dakika 20. 
online consultation

JEE UNGEPENDA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA TELEGRAM?

Basi tuma ujumbe kupitia link zetu za mitandao na namba yako ya simu nasi tutakurudia kwa maelezo zaidi. ZINGATIA: (Hili Group ni kwaajili ya akina mama pekee). Ahsante kwa ushirikiano.

Appointment

Make appointment here